Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika
kumjulia hali nyumbani kwake Victoria jijini Dar es Salaam jana Machi
23, 2013 baada ya mzee Kingunge kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa
uangalizi hivi karibuni alipougua ghafla.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake Victoria
jijini Dar es Salaam jana Machi 23, 2013 baada ya mzee Kingunge kulazwa
Hospitali ya Muhimbili kwa uangalizi hivi karibuni alipougua ghafla.
Kulia ni Mke wa Mzee Kingunge
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika kumjulia
hali nyumbani kwake Victoria jijini Dar es Salaam jana Machi 23, 2013
baada ya mzee Kingunge kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa uangalizi hivi
karibuni alipougua ghafla. Picha na OMR
mimi haya mambo siyaelewi sasa nani mgonjwa hapa mzee kingunge au huyu makamu wa rais ikiwa mzee kingunge ndio mgonjwa kwa nini yeye hakukaa kwenye kochi laini ili apate nafuu badala yake amakaa yule mzima na mgonjwa amekatlia lile la afadhali au ndio protocol basi hata katika maradhi basi ukubwa uwe una mipaka jamani umri na hali ya mgonjwa izingatiwe msipende ukubwa mkasahau utu na heshima.
ReplyDeleteugua pole mzee wetu na akija kiranja mwingine kukutizama muweke chini kama hataki na aende.
mdau.
shanghai,peoples republic of china.
Nikuelimishe amekalia kiti kinachomfaa kwa kunyoosha mgongo na ndicho maridgawa kwa mgonjwa. Makochi magodoro laini ni sumu kwa wagonjwa haswa wazee na wenye matatizo ya mifupa na maishipa.
ReplyDeleteacha ushamba wewe. kuna viti maalum kwaajili ya watu wenye matatizo ya mgongo ambavyo ninakua havibonyei. ndomana umamwona mzee wetu hapo kakalia hicho kiti. Sofa linabonyea na kusababisha mtu kujikunja sehemu ya mgongo wakati mgongo unatakiwa unyooke
ReplyDeletehapana mimi nadhani daktari ameshauri akae kwenye kiti hicho vinginevyo kisingekuwepo hapo kutokana na hadhhi ya viti hivyo vingine unavyodai ni vizuri sio kila kizuri ni kizuri kwa afya
ReplyDeleteSema KITI cha mzee wetu kama kilikuwa Store muda mrefu,Naona kama Vumbi hivi au macho yangu, Kama ni vumbi basi wafanye utaratibu wa kukifuta na kukipiga ile vanishi sijui tena. Otherwise UGUA POLE BABA YETU and GET WELL SOON.
ReplyDeletehata mimi nimeona kiti kinavumbi balaaa..si unaona bongo heee usafi nje sio ndani bonge la aibu aiseee..
ReplyDeletemdau
ulaya