Hapa ni Posta mpya ambapo leo kulikuwa hakupitiki kutokana na mvua babkubwa iliyonyesha kwa takribani nusu siku.
 Barabara ya Ohio street nako mambo yalikuwa kama hivi.
  Wengine walilazikika kushika Moka mkoani ili zisilowe.hapa ni Mwenge jijini Dar.
 Mkoko wa kina nanihii ukipigwa kibega baada ya kubuma.
 Hayaa moja.....mbili.... tatu.... twendeeeeee...
 Ilinasa sasa imetoka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kwa jiji la dar ni sawa tu, mifuniko ya mashimo ya kupitisha maji tumekwiba, na hayo mashimo yenyewe sasa ndo tunatupia takataka... tumlaumu nani?

    ReplyDelete
  2. Kwa nini hali ni hii hii mwaka nenda mwaka rudi? Hadi Rais wa China atusaidie?

    ReplyDelete
  3. Polisi atawalipa vipi waliozukuma gari lake?

    ReplyDelete
  4. Naona mvua imewaletea shida hapo Dar jana, sisi huku Ukerewe tuna shida tofauti. Nilekuletea picha kwa email
    Ibrahim

    ReplyDelete
  5. haha vikwangua anga zinazidi kuongezeka jijini dar

    nimeamini tanzania tunapiga hatua kubwa kimaendeleo sasa MASWIMING POOL MPAKA BARABARANI HATA HUKU UGHAIBUNI HAMNA.

    ReplyDelete
  6. Sumatra mmeona hiyo?

    Nadhani ni wakati sasa Leseni za Usafiri Jijini Dari Salama ziwe ni mara mbili yaani (double) kila Leseni ya Usajili wa gari pamoja na Usajili wa Boti pia kuweka mapanga boi (feni) uvunguni mwa magari tayari kwa misimu ya mvua!

    Ile mvua inamwagika maji kila kona mafuriko Jijini, mmiliki wa gari anashusha chini Mapanga boi (Fan) na gari inageuka chombo cha kwenye maji na kuwa Boti!!!

    Bongo Daslama Tambarale!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...