Meneja
wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akipokea kinywaji
chake cha Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar
iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika
Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Ndovu
Special Malt imewakutanisha pamoja Mameneja wa Chapa mbalimbali za
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutoka kushoto Meneja wa Kinywaji cha
Redd’s, Victoria Kimaro, Meneja wa Safari Lager, Oscar Shelukindo pamoja
na Meneja wa Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli wakiwa katika picha ya
pamoja wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar
iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika
Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wadau
wakilisakata rumba ndani ya Ndopvu Special Malt Crystal Bar
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Masai Camp jijini
Arusha.
Hako kabinti kampingo kenye kijani hapo juu, mbona nimekamaindi sana, contact mi-stew please.
ReplyDelete