Salaam Ankal Michuzi,
Nimeona mvua ilovyoleta matatizo hapo jijini Dar jana katika maeneo mbali mbali.Lakini Matatizo yetu jana hapa Ukerewe (Uingereza) ni kama uonavyo pichani,barafu imejaa kila kona.ama kweli kila mtu na shida zake.

Mdau Ukerewe 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hiyo sio Barafu(ice), hiyo ni theruji(snow).

    komba -mbinga.

    ReplyDelete
  2. Sasa mdau mi nadhani ikiwa inadondoka ndo theruji lakini ikifika chini ikaganda inakuwa barafu.

    ReplyDelete
  3. siyo theruji ni theluji

    ReplyDelete
  4. Ikidondoka au ikifika chini bado ni THELUJI....
    Sio theruji..... Chungeni matumizi ya herufi L na R.
    Waswahili wa Tanzania tumezoea mno kuzinchanganya
    hizi herufi. Hatuzitofautishi tena!!!

    ReplyDelete
  5. Nakubaliana na wataalam hapo juu
    Hii Kiswahili ni theluji siyo seruji, root yake ni neon la kiarabu THALAJA

    ReplyDelete
  6. Wabongo rudini nyumbani!

    Ya nini tabu kubanwa na chembe cha vifua kwa baridi?

    ReplyDelete
  7. Ohhh Majuu kazi ipo!

    Namna hiyo utafikiri mpo ndani ya Friji?

    ReplyDelete
  8. Box zinapunguza ufahamu wa lugha yenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...