Sehemu ya kwanza ya WanaDMV wafanya mjadala wa kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeoa mabaya ya kidato cha Nne wakianza kuelezea Elimu zamani ilikuwaje na nini kimesabababisha kuporomoka kwa Elimu. Je nani alaumiwe na nini kifanyike kuokoa janga hili WASIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hicho kichwa cha mjadala kibadilishwe maana hakina tija. Badala y a nani alaumiwe kiwe nini kifanyike?
    Tunaweza kudhani wewe elimu yako imeshuka!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Serikali nayo imechangia mno kwa kupromote bongo flava na bongo movie..sasa kila kijana anataka umaarufu kwa kutaka kuwa mmoja wa hao bongo flava au bongo movies..au mwanafunzi atatumia muda mwingi kufuatilia na hata kuhudhuria matamasha ya hao wasanii badala angetumia muda huo kujifunza.

    ReplyDelete
  3. waziri wa elimu ajiuzuru niwekwe mimi muone jinsi nitakavyo-discpline wizara nzima.

    ReplyDelete
  4. Sasa nyinyi mko Ughaibuni mnaangalia mambo yanayufanyika Bongo. Huku kila Mwalim anatafuta pesa ala na familia yake, anafundisha tuition masaa kadhaa anasahau wale wa shule aliyoajiriwa. Huku Bongo kila mtu anatafuta viza aje Ughaibuni. Hivyo lazima watoto wafeli mitihani.

    ReplyDelete
  5. mie nilidhani bongo tambarare watu hawataki kwenda majuu!

    ReplyDelete
  6. Mama aliyeongea mwishoni kasema ukweli kabisa,TANZANIA haieleweki yaani kwa kifupi tunazama jamani nani haje atuokoe?! Hatuhitaji Mabarabara kwa sasa tunachotaka tuelimike, tustaharabike na tuwe na nidhamu ya hali ya juu mengine yote yatakuja baadae. Ningebahatika kuwa Rais swala la STAREHE nikimaanisha CLUBS NA PUBS zote ningezifunga kwa mwaka mzima, no bongo movie no bongo flava kila mtu ni elimu na kazi tu!nyote mtastuka na kusimama katika nafasi zenu. Tumejisahau sana jamani huku tunawaachia WAZUNGU NA WACHINA wanaitifua ardhi yetu na wanyama wetu OUTBACK wakati sie tunakula STAREHE MJINI.Hivi sisi WATANZANIA ALIYETUROGA NI NANI? AU KAMA NI LAANA ALIYETULAANI NI NANI?!MWEEEH!Yaani kila mtu ni kutaka shotcut tu kuanzia wajuu mpaka wa chini yaani inakera sana bora mie nijikalie zangu hukuhuku nje.

    ReplyDelete
  7. Kipindi kizuri, na wachangiaji wameongea mambo mazuri ya msingi, Wee Joe Luke, siku nyingine ukiandaa kipindi tutaarifu na uruhusu watu wapige simu kuchangia.

    Hongereni sana waandaji wa kipindi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...