Mkuu Heshima kwako,
Naomba msaada wako uniwekee tangazo hili katika blog yetu ya jamii.
Nimepotelewa na pochi ya mfukoni (Wallet) yenye vitambulisho vyangu vya kazi pamoja na kadi za bank zenye majina William Kalinga, vimepotea maeneo ya Kola “B” karibu na Jordan University Morogoro.
Kwa yeyote atakayeokota document hizi awasiliane name kwa simu namba 0718278442
Natanguliza shukurani
William Kalinga
Mdau-Morogoro
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...