Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya Pamoja
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Silaa akiwakaribisha washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Manispaa ya Ilala
Mmoja wa washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 , kutoka Kanda Maalum ya Zanzibar akitoa Shukurani kwa niaba ya Warembo wenzake
Muheshimiwa Jerry Silaa Akizungumza na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania
kwa picha zaidi bofya read more
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Muheshimiwa Meya wa Manispaa Jerry Silaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nashawishika kuamini kuwa huyo mshiriki anayewakilisha kanda ya Zanzibar anawakilisha tu lakini sio wa asili ya kanda hiyo, hivyo uwakilishi wake hauakisi (doesn't reflect) uhalisia wake!!

    ReplyDelete
  2. ...kwa nini unafikiria hivyo? au ulikuwa haujui hata Zanzibar kuna wanubi?... Michael Jordan, Carl Lewis, 50Cent..wanawakilisha Marekani, Frank Bruno, Naomi Campbell, Linford Christie... wanawakilisha Uingereza, na sijaona mtu akiandika PUMBA kama zako!!!.... bila kusahau Wazungu wanaowakilisha Afrika Kusini.... tatizo lako nini?

    ReplyDelete
  3. Hivi wewe anonymous wapili ni Mtanzania kweli unayeelewa Kiswahili? Kwa nini utumie neno 'haujui' hapo? 'haujui' u nini? Ubao au ....? Neno sahihi hapo ni 'hujui' Sawa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...