Home
Unlabelled
HOTUBA YA RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI MAFUNZO JKT NCHINI KATIKA KAMBI YA RUVU MKOA WA PWANI MACHI 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hotuba nzuri. Shida ni moja tu. JKT la kwenda kupiga kwacha au Gwaride limepitwa na wakati. Siku hizi\kama kuna vita watu wanatumia "drones" au teknolojia nyingine. Hivyo it makes sense kama lengo la JKT litakuwa ni kuwafundisha vijana teknolojia mpya za kijeshi. Kwacha, gwaride na ukokomavu tu peke yake hautoshi na haina maana kuanzisha JKT bila kufikiria teknolojia mpya. Tujifunze kwa wenzetu. Wakati wa uchaguzi wa Marekani, Mitt Romney alimshutumu Obama kwamba anakata budget la jeshi. Na jibu la Obama lilikuwa "Sio tu tunakata budget ya jeshi tu, hata farasi siku hizi tunawapunguza kwenye majeshi yetu. Maana vita vya kutumia farasi vimepitwa na wakati. Siku hizi tunataka jeshi dogo lenye kutumia tecnolojia." Kwa hilo Nadhani watz tujifunze kwa wenzetu. Huwenda tukawa tunapoteza fedha kuanzisha tena JKT kama wahitimu wa JKT watakuwa maimuna wa teknolojia za kisasa. Ukakamavu ndio lakini teknolojia kwanza.
ReplyDeleteAgain, hotuba nzuri ila mambo niliyosema hapo juu yazingatiwe.
Mheshimiwa Rais: Hili la kuanzisha JKT ni jambo la maana sana, kuna faida nyingi tusizoweza hata kuziolodhesha. Asante Mheshimiwa, umeona mbali.
ReplyDeleteAnony wa kwanza ujuwe kuwa tunajikuna tunapoweza. Kama huwezi kumudu kilo ya nyama basi ni vema kununuwa utumbo au matembele ili watoto wale.