Mechi kati ya NMB na marafiki wa Imani Kajula iliisha kwa NMB kushinda goli 4 – 3 dhidi za marafiki wa Imani. Mechi hiyo maalum ya kumuaga Imani ilifanyika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam ikishuhudia katibu mkuu wa zamani wa TFF Fredrick Mwakalebela akiibuka nyota wa mchezo.

Timu  ya marafiki wa Imani ikiwa tayari kwa mechi na NMB.


Nyota wa mchezo wa leo kipa wa marafiki wa Imani, Fredrick Mwakalebela akiwa na kipa ya NMB Richard Mwalibwa.


Nahodha wa Timu ya marafiki wa Imani Shaffy Dauda akitoa maelekezo wakati wa mapumziko.


Moja ya hekaheka za mechi hiyo, Imani Kajula akimtoka Erick Ruyangi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. CHEZEA MWAKALEBELA WEWE.!! HICHO NDICHO KICHWA SAHIHI CHA UONGOZI WA MICHEZO NCHINI. SIX

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...