Uzinduzi wa mradi “INVOLVE” kwa ajili ya kuimarisha ushiriki wa wakulima wadogo kwenye mijadala ya ki-sera na ufuatiliaji ili kuboresha uhakika wa chakula Afrika Mashariki. Uzinduzi huo umefanywa na Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Afrika Mashariki Bw. Uledi Mussa na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania Bw. Gianluca Azzoni
Mradi wa “INVOLVE” unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya, Oxfam na Brot, na utekelezwa na Mtandao wa wakulima wadogowadogo katika nchini za mashariki na kusini mwa Afrika (ESAFF), Asasi ya GRET ya Ufaransa na Muungano wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA)
Uzinduzi rasmi ambao umefanywa na Naibu Katibu Mkuu
katika Wizara ya afrika Mashariki Bw. Uledi Mussa na Mwakilishi wa Umoja wa
Ulaya nchini Tanzania Bw. Gianluca Azzoni
Mwanamuziki mkongwe Mzee kassimu Mapili wa Mjomba Band
akitumbuiza katika uzinduzi huo leo
. Mratibu wa Mtandao wa wakulima wadogowadogo katika
nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAFF) Bw. Joseph Mzinga akieleza juu
ya mradiwa INVOLVE”
Wajumbe waliohudhuria uzinduzi wa mradi wa “INVOLVE”
wakiwa katika picha ya pamoja
Kassim tafuta msikiti mlipo sasa, muziki wa dunia hakufai tena!!
ReplyDelete