| Balozi Gamaha akiendelea na mazungumzo na wageni wake. |
| Balozi Gamaha akifafanua jambo kwa Balozi Azevedo wakati wa mazungumzo yao. |
| Mhe. Fransisco Carlos Luz (wa kwanza kulia), Balozi wa Brazil hapa nchini pamoja na wajumbe wengine kutoka Brazil wakimsikiliza Balozi Gamaha (hayupo pichani) alipozungumza nao |
| Wajumbe wote kwa pamoja wakimsikiliza Balozi Gamaha. |
| Balozi Gamaha akiagana na Balozi Azevedo mara baada ya mazungumzo yao. |
| Picha ya pamoja. |


Dr.Azevedo wa WTO kilichomleta ni kuiomba Tanzania Kura yetu ktk Uchaguzi huo.
ReplyDeleteTutaangalia kwa kuwa Mariam Mohamed wa Kenya ndugu zetu wa EAC alikuwa ktk UNEFPA ni pia Mgombea wa nafasi hiyo.
Juice kwenye mkutano ya nini? Mambo ya nje nao wamekuwa kama Ofisi ya tawala ya mikoa? Utaribu wa kimataifa toa maji ya kunywa sio juice! Maskini nje wanadhania wamewakirimu wageni hasa! Ama janja ya mabosi kupata makombo? Nilidhani hawa ndo wakongwe wa diplomasi ya mapokezi na vilaji na kuwa wangefahamu juisi wakati gani na maji ama chai wapi. Ajabu. Alafu twalia fomu four kufeli?
ReplyDeleteAnonymous wapili hapo juu unasomeka kama mtu mpuuzi puuzi vile!
ReplyDelete