Wasanii wa vikundi vya utamaduni wakitoa
burudani wakati wa kupatiwa fedha za
mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye
hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wanawake Wajasiriamali
wakifurahi wakati wa kupatiwa fedha za
mkopo usio na riba kutoka Vodacom
Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women
Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya
Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wanawake na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto) na msanii Mrisho Mpoto
wakifurahi na wananwake wajasiriamali wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio
kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania
kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye
hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam .
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili
kulia) akimkabidhi fedha taslimu
mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Ashura Nampe Nampeja kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania
kupitia mpango wake MWEI katika
kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa
Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili
kulia) akimkabidhi fedha taslimu
mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Aziza
Maiga kwenye hafla ya Siku ya
Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe
Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa
na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom
Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili
kulia) akimkabidhi fedha taslimu
mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio, Nuru Njovu , kwenye hafla ya Siku ya
Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe
Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba
unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation,
Grace Lyon.
Ofisa
wa Vodacom Foundation Ali Mbuyu akiwahakiki Wanawake Wajasiriamali wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa
na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia
mradi wa M-pesa Women Empowerment
Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga
Temeke jijini Dar es Salaam
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa pili
kulia) akimkabidhi fedha taslimu
mjasiriamali wa Soko la Temeke Sterio,Sara Kiswiri kwenye hafla ya Siku ya
Wanawake Duniani iliyofanyika Mwembe
Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha hizo ni mkopo usio na riba
unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania. Kulia ni Meneja wa Vodacom
Foundation, Grace Lyon.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...