Ankal,
wape vitu Ankal apendazo enzi hizo 'Mabrazameni' a.k.a masharabaro wa enzi hizo wakiwajibika kwa kwenda mbele na vitu vya uhakika iwe studio au live kama ktk clip hii kuanzia utanashati, mistari, uchangamfu, kutumia ala za muziki na kubwa zaidi kundi zima kufanya onyesho kama timu iliyokamilika idara zote na safu zote. Si wengine bali ni Kool & Gang live wakikupa 'Get down on it'
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Uhhh ni raha muruwa kwa Mabrazameni a.k.a Vijana wa zamani!
ReplyDeleteStaili kubwa ya uvaaji wa Kundi hili Kool and the Gang ilikuwa ni Maovaroli kila mmoja ktk wale 7 ya rangi tofauti tofauti.
Kwa kweli Ma-Tozz wa Kitambo walikuwa wagumu, ni vile ukivaa overoli kwa sasa unaonakena ni Gangstar/ hardcore!
Masharobaro wa siku hizi, mmewaona Wakali wa Long time hao?
ReplyDeleteMuziki wao huo mnauweza???
Angalieni (sisi wa za zamani) walivyowafunika Ma-Tozz wa Kitambo,
Masharo wa kisasa kazi kuvalia suruali makalioni, mmeona vijana wa kizamani hao walivyovaa pamba zao?
Wengine mmepitiliza hadi mnavaa Bikini (Kufuli za Kike) zile zenye ukamba unaopita kati kutengenisha kalio moja na lingine!
Hata kuimba wa sasa mna fosi mnabana pua zenu na kuimbia makooni, mmesikia sauti tamu inavyotoka na mmeona jinsi wanavyojituma Jukwani sambamba na kuvitumia Vyombo ki sawasawa?