Wakaja London beat na ngoma yao "I've been thinking about you" na kutamba sana
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ohhh jamani machozi machozi tena, ilikuwa mwaka 1991 tunaziruka hizi.
ReplyDeleteNakumbuka alikuwepo Msomi mmoja nchini Finland alituma Bus Coaster Mitsubishi ya viti 26 na Music System wakati huo hatunaga mambo ya Sub-Woofer, kwa kweli Mtaani hapatoshi Mziki mkubwa London Beats wimbo huo ''I have been thinking about you'' na Bus la Picnic tunalo kwa nini tusitanue?
style ya wimbo nzuri,type hii uikute club fulani Ijumaa wee.. ful shangwe
ReplyDelete