Wakaja London beat na ngoma yao "I've been thinking about you" na kutamba sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ohhh jamani machozi machozi tena, ilikuwa mwaka 1991 tunaziruka hizi.

    Nakumbuka alikuwepo Msomi mmoja nchini Finland alituma Bus Coaster Mitsubishi ya viti 26 na Music System wakati huo hatunaga mambo ya Sub-Woofer, kwa kweli Mtaani hapatoshi Mziki mkubwa London Beats wimbo huo ''I have been thinking about you'' na Bus la Picnic tunalo kwa nini tusitanue?

    ReplyDelete
  2. style ya wimbo nzuri,type hii uikute club fulani Ijumaa wee.. ful shangwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...