Ngoma ya 'Le freak' ya kundi la Chic si mchezo. Na hapo ilikuwa mmbo ya Bumping kwa kwenda mbele. Wadau David V na Mesiaki mpooooo...??
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali si mchezo magoma haya!
ReplyDeleteHapa ilikuwa mwaka 1980-1981 tumesha achana na Raizoni, huku vijana Mabaharia wakiwa wanarudi kutoka Majuu, na viwalo vyao na magari ya mitumba!
Ilikuwa ni patashika nguo kuchanika, ingawa pamba kaliilikuwa ni mizozo ukiwa na Raba Mtoni, Jeans ya Mtumba na stati la Minazi minazi unakuwa wewe ndio Brother kaka wa ukweli!
Nje ya Club umepaki Peugeot 504 bado ina namba za Ulaya ahhh unaonekana wa juu sio mchezo!
Leo Ankal "sitashiriki kipindi",mitambo yangu hapa leo haitaki kusoma media ya aina yoyote,ina kwikwi,si youtube,si realplayer,nk.Mafundi mitambo wangu wapo wanalishughulikia tatizo.Nyimbo zingine(kama huu wa 1978?),nilikuwa mdogo,hadi nisikilize ndo napata kumbukumbu.
ReplyDeleteDavid V
Kitu hiki hata uwe umezaliwa mwaka 2011 ( elfu mbili kumi na moja) lazima utakipenda tu.
ReplyDeleteKazi za ubora huu hudumu muda mrefu toka kizazi kwenda kizazi.
Changamoto kwa 'wakali wa maiki'' wajifunze kuwa na vikundi vya bendi na wanamuziki badala ya kusindikizwa na CD au kompyuta mpakato.
Mdau
Mpenda Muziki wa kila aina na wa nakshi mbalimbali.