DeBarge - Rhythm Of The Night

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankali ni bora umewamwaga watoto wa Kisasa maana tumewaburuza saaana !

    Kama unavyoona hata wewe mwenyewe Goma hili unalirusha tena ni kuwa linakuna saana, kwa kweli tunakumbuka mbali sana.

    Pana Mmarekani mmoja aliandika hivi ''life was good those old good days when apple and blackberry were still fruits and not cell phones'' !!!
    ----------------------------------
    YAANI: ''maisha yalikuwa matamu zamani zile wakati apple na blackberry yalikuwa matunda na sio majin ya simu za mkononi''
    -----------------------------------

    Ndio kama hapa tunashuhudia maisha yalivyokuwa matamu siku zileee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...