Mratibu
wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Rehani Athumani akizungumza katika
semina vikundi vya akina mama wa Majohe (UVIMA) vilivyopo chini ya
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayosimamiwa na Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete hiyo iliyofanyika Majehe leo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen
Mikongoti akizungumza na washiriki wa semina hiyo iliyofanyika Majohe
Pugu jijini Dar es salaam leo
Philomena Marijani Meneja Uragibishi kutoka WAMA akizungumza katika semina hiyo.
Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...