Mkurugenzi Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii (NSSF),Ramadhani Dau akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Shirika hilo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wakati wa uzinduzi wa bodi mpya Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii (NSSF) 
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Abubakar Rajabu akitoa neno la shukrani baada ya Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto) alipozindua bodi hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ramadhani Dau.
 Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF,toka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano,Eunice Chiume,Meneja Kiongozi Kinondoni,Ally Nchula na Meneja Kiongozi Ilala,Delfina Masika.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii (NSSF), Ramadhani Dau mara baada kuzindua bodi mpya ya Shirika hilo.Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF,Abubakar Rajab.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF, Abubakar Rajabu na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF,  Crescentius Magori.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF,Abubakar Rajab (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa ATE,Almas Maige (kulia) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ATE na Mjumbe wa Bodi ya NSSF,Bi. Zuhura Muro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kuwa makini na unayempatia Business Card yako! Si kila kingaacho ni dhahabu!

    ReplyDelete
  2. Bodi itakuwa imejaa Pan wenzie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...