Katibu wa kikundi cha Utamaduni cha Sanaa Tarab Daudi Shadhil (kulia) akitoa maelezo kwa Mwandishi wa habari Miza Kona kuhusu kuteketea kwa moto ofisi yao hapo Ngome kongwe, kushoto ni Muongozaji msaidizi wa Kikundi hicho Yazid Mawiya.
Vifaa vya muziki pamoja na pesa shilingi milioni 2.5 za Kikundi cha Utamaduni cha Sanaa Tarab vikiwa vimeteketea kwa moto pamoja na ofisi yao iliyopo Ngome Kongwe, Mjini Zanzibar usiku wa kuamkia jana.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ndio maana tuna ma benki ya kuweka pesa.

    Sasa hizo hata insurance hazina ndo zimetokomea, poleni

    Msije omba msaada tu humu nitandaoni kwa kupuuzia na kukalia pesa ofisini

    ReplyDelete
  2. changa la moto, hapo kuna mtu kaiba sehemu ya pesa kisha kachoma moto kwisha!!!! wewe mwenyewe huoni mbao zimeungua lakini kuna baadhi ya noti zipo salama!!!!!??

    ReplyDelete
  3. Ambavyo sina hela hivi kumbe watu wanaziweka tu ofisini, si utani huu mnaacha hela zinateketea kwa moto na watu hatuna, muogopeni Mungu jamani

    ReplyDelete
  4. Si mchezo !

    Huo ni mtalimbo wa Uamsho, kuungua Ofisi za Taarabu.

    ReplyDelete
  5. Hapo ni fitina tupu!,

    Moto umechomwa mtu aonekana hayupo makini na kuongoza ili mtu apinduliwe Uongozi wa Kundi la Taarabu, sasa itakuwa vipi kama sio hiyo kitu?

    ReplyDelete
  6. Poleni sana. Inanikumbusha wakati ukumbi was Chuo Cha Sanaa Bagamoyo ilivyoungua moto!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...