Katibu wa kikundi cha Utamaduni cha Sanaa Tarab Daudi Shadhil (kulia) akitoa maelezo kwa Mwandishi wa habari Miza Kona kuhusu kuteketea kwa moto ofisi yao hapo Ngome kongwe, kushoto ni Muongozaji msaidizi wa Kikundi hicho Yazid Mawiya.
Vifaa vya muziki pamoja na pesa shilingi milioni 2.5 za Kikundi cha Utamaduni cha Sanaa Tarab vikiwa vimeteketea kwa moto pamoja na ofisi yao iliyopo Ngome Kongwe, Mjini Zanzibar usiku wa kuamkia jana.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
ndio maana tuna ma benki ya kuweka pesa.
ReplyDeleteSasa hizo hata insurance hazina ndo zimetokomea, poleni
Msije omba msaada tu humu nitandaoni kwa kupuuzia na kukalia pesa ofisini
changa la moto, hapo kuna mtu kaiba sehemu ya pesa kisha kachoma moto kwisha!!!! wewe mwenyewe huoni mbao zimeungua lakini kuna baadhi ya noti zipo salama!!!!!??
ReplyDeleteAmbavyo sina hela hivi kumbe watu wanaziweka tu ofisini, si utani huu mnaacha hela zinateketea kwa moto na watu hatuna, muogopeni Mungu jamani
ReplyDeleteSi mchezo !
ReplyDeleteHuo ni mtalimbo wa Uamsho, kuungua Ofisi za Taarabu.
Hapo ni fitina tupu!,
ReplyDeleteMoto umechomwa mtu aonekana hayupo makini na kuongoza ili mtu apinduliwe Uongozi wa Kundi la Taarabu, sasa itakuwa vipi kama sio hiyo kitu?
Poleni sana. Inanikumbusha wakati ukumbi was Chuo Cha Sanaa Bagamoyo ilivyoungua moto!
ReplyDelete