Home
Unlabelled
raha ya mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa jijini dar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I think we need tow services Tanzania! Yaani tuangalie matukio na mahitaji! Kweli hakuna gari inaweza kuvuta hapa mpaka watu wainame hivi huku suruali zinawadondoka! Sasa ona hiyo ya afande karibia ichanike!
ReplyDeleteLakini shida ni kwamba hawajui kuyatumia... huwezi kuniambia land cruiser pick up, with all the gadgets plus the 4wD eti haiwezi kutoka hapo? hiyo sio cruiser ninayoijua mimi! wapelekwe shule. kama wameuza 4wD, then thats another BIG story!
ReplyDeleteNyie sukumeni gari la Polisi mkilitoa tu, kwa jinsi walivyo wala rushwa mtawekwa chini ya ulinzi mtafungwa mashati halafu Afande atawapandisha kwenye Land Cruiser hiyo hiyo na kupelekwa kituoni!
ReplyDeleteBosss apo juu.Sio kilakitu kupelekana shule! That cruiser is trapped in a sewage tunnel. Mazara ya kuuza na kununua chuma chakavu.
ReplyDelete