Mkuu wa Wilaya wa Rungwe Mkoani Mbeya,Chrispin Meela (kulia)akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja Mpishi Mkuu wa Bar ya Saigon, Joseph Aluta mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya CCM Iromba mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Bar ya Saigon, Ally Mohamed na Meneja Mauzo wa rejareja wa Mkoa Mbeya, Michael Myinga.
Wafanyakazi wa Bar ya Saigon na mashabiki wakishangilia huku wakiwa wamembeba mpishi Mkuu wa Bar hiyo,Joseph Aluta mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya CCM Iromba mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...