Bendi  maarufu ya muziki wa dansi " Ngoma Africa Band" aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, inawatakieni wadau wote popote pale mlipo " kila la heri na fanaka " katika sikukuu ya msimu wa Pasaka. bendi yenu "Ngoma Africa" inawambea amani na baraka.
Pia msikose kupata burudani kamili ya Pasaka kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at
mawasiliano at contact@ngoma-africa.com.
Kamanda Ras Makunja wa FFU Ughaibuni akiwa katika patrol

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kamanda hiki chombo cha cha kufanyia doria naona kimetengenezwa kwa ajili yako tu? si mchezo vita unaviweza

    ReplyDelete
  2. Rafael Kirumbi yuko wapi hapo mbona unapiga picha pekeyako?si na yeye yuko Ujerumani? Au yeye sio Commander? Qweman

    ReplyDelete
  3. Kamanda ras makunja aka mkuu wa Anunnaki empire,hayo malinndo unayoyakagua inaonekana ni malindo ya hatari sana? kamanda tunakuaminia katika doria

    ReplyDelete
  4. te ! te! Kikamnda ketu ! mwe mwe FFU
    katika kukagua malindo! naona maafande wengine wapo lindoni na mitutu yao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...