Bendi maarufu ya muziki wa dansi " Ngoma Africa Band" aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, inawatakieni wadau wote popote pale mlipo " kila la heri na fanaka " katika sikukuu ya msimu wa Pasaka. bendi yenu "Ngoma Africa" inawambea amani na baraka.
Pia msikose kupata burudani kamili ya Pasaka kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at
Kamanda Ras Makunja wa FFU Ughaibuni akiwa katika patrol


kamanda hiki chombo cha cha kufanyia doria naona kimetengenezwa kwa ajili yako tu? si mchezo vita unaviweza
ReplyDeleteRafael Kirumbi yuko wapi hapo mbona unapiga picha pekeyako?si na yeye yuko Ujerumani? Au yeye sio Commander? Qweman
ReplyDeleteKamanda ras makunja aka mkuu wa Anunnaki empire,hayo malinndo unayoyakagua inaonekana ni malindo ya hatari sana? kamanda tunakuaminia katika doria
ReplyDeletete ! te! Kikamnda ketu ! mwe mwe FFU
ReplyDeletekatika kukagua malindo! naona maafande wengine wapo lindoni na mitutu yao?