Nawashukuru sana ndg,jamaa na Marafiki kwa jinsi mlivyojitoa na
kumuombea Dua mtoto wangu Mpendwa Nuru Abdulaziz katika kipindi chote
toka amezaliwa tr 05 march 2013 na alipoanza kuumwa na kuvimba upande
mmoja wa kichwa na kulazwa katika hospital ya Mkoa wa Lindi tr 08
march..Hakika mlinifariji sana na kunitia Moyo...Kwa Mapendo ya Mungu
yeye alimpenda zaidi na kuweza kumchukua tr 24 march na kuzikwa siku
hiyo hiyo
Kwa Niaba ya Familia yangu nawashukuru sana kwa subira mliyonipa na
mnavyozidi kujitokeza kunifariji katika kipindi hiki kigumu..Mungu
awape baraka nanyi
Tuko pamoja kwa kila jambo
Ahsante........
Abdulaziz Ahmeid-Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa
Habari Mkoa wa Lindi au maarufu Abdulaziz Video wa Channel ten-Lindi
Inna lillah wa inna illayhi rajiun, Muumba akuongezee subira na akuwezeshe kupata kilichobora zaidi na ufanikiwe kupata jannah pamoja hako katoto kalikotangulia mbele ya haki.
ReplyDeletePoleni sana, pole sana kwa mama mzazi. Ni mipango ya mungu.
ReplyDelete