Home
Unlabelled
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari kutoka kwa Mh. Membe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole sana mheshimiwa. Hata mimi habari hii imenisikitisha sana. Sijui huyo mwandishi alitumia ujasiri gani kuandika kitu kama hiki kisichokuwa na ukweli. Lakini mwisho umemalizia kusema viachiwe vyombo vya usalama. Hivi itakuwaje kama hivyo vyombo vinahusika? Huo ukweli utapatikana?
ReplyDeleteMr. Membe Usipanic, karne hii, watu huzua mambo, ujue kwambwa hata ndani ya biblia wameandikwa "wazushi" hivyo uwe na amani, kwani moyoni unajua hujafanya na Mungu anajua hivyo, ondoa mashaka kabisa. Ukweli utajulikana, hao wanaozusha wasamehe bure. Chapa kazi tuendeleze maendeleo ya nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki waziri wetu.
ReplyDeleteKatika mawaziri wa awamu hii ninaemuona ni mmojawapo wa wachapakazi wa uhakika na wasiopenda sifa Waziri B. Membe ni mmojawapo..hana makuu na hana makeke..hizi ni mbinu chafu za kumchafulia jina..serikali ichukue hatua kali kwa wazushi kama huyo mwandishi maana hawa ndo wachochezi wenyewe.
ReplyDeleteMdau wa London
Tena ashindwe na alegee. Watu tunahubiri amani kila uchao yeye anaichokonoa. Tusikubali watanzania. Hata kuwachafua viongozi wetu tusikubali ndio vurugu huanzia humo. Sijawahi kuona nchi inayopata faida kwa mtindo wa kuwachafua viongozi. Let's be serious.
ReplyDeletehIVI huyu Bashe ni nani hadi awe anamtunishia misuli waziri? anamtegemea nani? Hiki Kizazi cha Kisomali tukiangalie sana jamani!Kibaya sana anaemtegemea nae ni 'mhindi' ambae nae ameisumbua sana nchu hii! Inauma sana jamani!
ReplyDeletehivyo ni vionjo vya gazeti ili liuzike!!wasamehe bure hawajui walitendalo!!!
ReplyDeletetehe tehe tehe tehe tehe,aaah,ngoja nipige kiwi kiatu changu nitoke!tehe tehe tehe....heh heheeeeee!tupo wengi kumbe,wapiga kiwi!
ReplyDelete