Wanangwa
Mtawali
(Born Feb
1962 – Died Mar 28, 2013)
Familia
ya Marehemu Clement na Marehemu Mwalimu Margareth Mtawali, wa zamani Chuo cha
Ushirika Moshi, wanasikitika kutoa taarifa ya msiba wa Wanangwa ‘McTwist’ Mtawali
aliyefariki ghafla alfajiri ya 28 March 2013.
MISA YA MAREHEMU ITAANZA SAA TANO ASUBUHI, KESHO JUMAMOSI 30/3/13, PALE NYUMBANI KWA MAREHEMU MTAA WA KAGERA NA KIMAMBA, KARIBU NA MSIKITI WA UNDANI, NA MAZISHI YATAKUWA SAA TISA KAMILI MAKABURI YA KINONDONI (NDANI YA UKUTA) DAR ES SALAAM.
Ndugu na marafiki tutashukuru kujumuika kwenu ki hali na
mali katika kipindi hiki cha maombolezo hadi mazishi; waweza kuwasilisha kujikimu
kwako kwa Michael Mtawali au kupitia
MPesa namba 0754710334.
Kuishi
ni Kristo, na kufa ni faida


.png)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...