KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimpa zawadi ya kinyago cha 'Ujamaa', Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu jimbo la Sichuan, Zhang Ning, baada ya mazungumzo yao, Machi 15, 2013, katika hoteli ya Jinjiang, mjini Chendu, China. Kinana yupo nchini China na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu jimbo la Sichuan, Zhang Ning, baada , Machi 15, 2013, katika hoteli ya Jinjiang, mjini Chendu, China. Kinana yupo nchini China na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akipewa zawadi ya picha na Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu jimbo la Sichuan, Zhang Ning, baada ya mazungumzo yao, Machi 15, 2013, katika hoteli ya Jinjiang, mjini Chendu, China.Kushoto anaeshuhudia ni Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro.
Sasa inatabirika kiasi cha kuchekesha na kuchekesha kiasi cha kutabirika: mgeni wa kitaifa atafikia Dar na kisha atatembezwa arusha na zawdi atakayopewa ni kinyago cha Kimakonde. Hata viongozi wetu wakienda nje zawadi watakayopeleka ni kinyago cha Kimakonde. Please get more creative and use your imagination, haiwezekani kila siku Makonde, Makonde, Makonde, Arusha, Arusha, Arusha. There is more to Tanzania than that.Huu ni uvivu, ubaguzi, dhihaki, bezo na dharau kwa sehemu zingine za nchi yetu.
ReplyDelete