Mpishi Mkuu wa Bar ya Victoria Princes, Joseph Swai akishangilia mara baada ya kutangazwa mshindi wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma Mkoa wa Mwanza yaliyofanyika katika viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, Amina Masenza (kulia) akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja Joseph Swai wa Bar ya Victoria Princes mara baada ya kuibuka mabingwa wa fainali za mashindano ya Safariri Nyama Choma yaliyofanuika katika Viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mpishi Mkuu wa Victora Princes, Joseph Swai akishangilia na kitita cha shilingi milioni moja mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Amina Masenza (kushoto kwake) ikiwa ni Mabingwa wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma 2013 Mkoa wa Mwanza yaliyofanyika katika viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja mauzo na usambazaji wa kanda ya ziwa , Malaki Sitaki na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mchina ambaye hakutambulika jina lake akicheza wakati Bendi ya Africana inatumbuiza wakati wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Viwanja vya Furahisha mwishoni mwa wiki.
Wachagga kwa nyama choma bwana. Mpaka Mwanza wamo!!!!
ReplyDeleteLini kutakuwa na mashindano ya mboga za majani na masalad etc - nyama in hatari zake!!
ReplyDeletebwana joseph swai naona hata kushangilia anashangilia kwa style ya kabila lao(M4C)
ReplyDeletehawa jamaa ni noma...!
BONGO haswa raha..ona mchina anavyofurahia-lol
ReplyDeleteMwekezaji akikata mauno chezea mchina weye?
ReplyDeleteHAHAHA! Eti mwekezaji ananengua!
ReplyDeletenyama choma inadhaminiwa na ulevi maana ndio vinaendana sasa wadau hapo juu msishangae shindano hilo kufanyika
ReplyDeletena kwa ushamba uliotukuka watanzania bado tunashangaa watu wenye asili ya asia au ulaya wakifanya jambo lolote hata kama ni jambo la kawaida kwa jamii
hivyo vidole Swai, wakati unashangilia, ni alama ya nini au una maana gani meku?
ReplyDeleteBrain