Home
Unlabelled
video SHOWING SCENE OF A 15-STOREY BUILDING THAT COLLAPSED AND KILLED SEVERAL I N DAR ES SALAAM TODAY MARCH 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
watu bdala kuanza kuokoa licha kuwa hawana vifaa bado wanauliza ushahidi ilikuwaje
ReplyDeletejiwe moja moja mkono kwa mkono hivi kweli haya ndio maendeleo tunayoyasikia sisi wa huku ughaibuni kila siku?
ReplyDeletemaana kila siku tunasikia tanzania sasa inapiga hatua kubwa kimaendeleo maendeleo yenyewe ndio hayo kukitokea shida watu watumie mikono kuondoa jiwe moja moja ?
serikali haina hata vifaa vya dharula kutokeapo shida mbali mbali waweze kutoa msaada?
na hao ffu wanaofika eneo la tukio na mbwa wao wanakusudia nini ? sehemu kumeanguka jengo polisi na mbwa wa nini?
aibu kubwa sana ankali ukituletea mapicha ya vikwangua anga hali yakuwa vifaa vya uokoaji hakuna
kila tukio hapo tanzania utasikia likitokea asubuhi basi msaada wa uokoaji utaanza kuonekana mchana au jioni
inasikitisha sana kuona mpaka leo tupo na style ya mwaka 1800 wakati wenzetu wapo mbali sana
ewe mola muweza tunakuomba tujaalie viongozi waadilifu wenye kujali maisha ya wanaowaongoza
tunaomba serikali itoe vibali kwa vyombo vikubwa vya habari kama CNN AL JAZEERA Nk ili habari zetu ziweze kutoka nje ya mipaka ya tanzania
kwa watani wa jadi hata akichinjwa mtu mmoja utaona habari kwenye cnn na aljazeera leo hii kwetu mabasi yanauwa mamia kila siku na habari hazitoki nje
ukiona nchi inanyima nafasi kwa vyombo vya habari vya kimataifa kutoa habari zake ujuwe hiyo nchi ina mfumo wa kidikteta wanaogopa kupata aibu au kujulikana wizi wao
MAOMBI KWA ANKALI MJOMBA AU MWENYE MPINI
chonde chonde huu ni mwono wangu kama binadamu wengine nipe haki kutumia hii blog kufikisha niliyonayo moyoni
Jengo limesambaratika kama vile limepigwa na bomu. Kuna haja ya kupinguza uchakachuaji wa vifaa vyetu vya ujenzi.
ReplyDeletePolen saana waliopoteza jamaa zao na mungu awaponye majeruh
ReplyDeletewote.
Ahsante Mzee michuzo kwa kuweza kurusha habari kikamilifu
ReplyDeleteNaomba ndugi zangu tujitayarishe na kifo wakati wowote ule kwani killa kilichoko duniani kitatoeka. Kwa hiyo basi tujitayarishe tusidanganyike na mapambo ya dunia tukajisahau.
ReplyDeleteMdau wapili, mbwa wanasaidia kugundua mahali kuna miili ya watu.
ReplyDelete