Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama wamachinga wakiwa kwenye shughuli yao ya kujitafutia rizki katika foleni ya magari Barabara ya Kawawa,jijini Dar es Salaam kama walivyonaswa na Kamera ya Globu ya Jamii.kikweli ukweli jamaa hawa wanasaidia sana kufunguza safari za kwenda kwenye masupa maketi kila siku,maana wanamahitaji ya kila aina yanayopatikana kule.
Korosho za Mtwara hizooo....
Mjaji wa masikini nguvu zake. Sasa wewe ulioko Marekani au UK one wenzio walioko Bongo wanahangaika kutembea masafa ya maili 20 kwa siku kwa hela ya kula. Wakati wewe unalipwa $80 kwa kusha vyombo, tena katika hizo $50 zinabaki benki.
ReplyDeleteanonymous wa kwanza nakuuliza nini point ya post yako hasa? Nimeshindwa kukufahamu unachosema!!!
ReplyDeletesasa wewe mdau wa 03:32pm ndio tukuelewe vipi au huna la kusema?
ReplyDelete