Wapiga picha za habari wa vyombo mbalimbali vya mkoa wa Morogoro wakiwa kazini wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kitivo cha sayansi cha Chuo Kikuu cha Kiisalmu kilichopo katika mji huo uliokosa bahari tu.
Mkoa wa Morogoro ni mmoja kati ya mikoa iliyo na vyombo lukuki vya habari ikiwa ni pamoja na TV pamoja na redio, na vinavyotoa ushindani mkubwa dhidi ya vyombo vya habari vya Dar es salaam. Wa pili kulia mwenye kibandiko ndiye mdau John Nditi wa Globu ya Jamii.
Wapiganaji Poleni sana na kazi!
ReplyDeleteHebu angalieni uwezekano wa komba mpewe mavaiz ya 'bullet proof' (nguo zisizoruhusu risasi kupenya mwilini) ili muweze kufanya kazi kwa usalama zaidi.
Sasa kama mtu unaweza kuomba umiliki wa Silaha kama Bastola kwa halali, itakuwa kuomba upewe nguo za Bullet proof?