Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo le
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza jambo Diwani wa Kata ya Msoga Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mboga kata ya Msoga leo wakati Rais alipotembelea shule hiyo leo kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za waalimu shuleni hapo. Picha na Freddy Maro
mtu kwao fanya kweli ili ukitoka wakukumbuke umewafanyia nini
ReplyDeleteHii inapendeza....sio unalisha wengine kwako wanalala njaa...Big up JK
ReplyDeleteHivi vijana wa siku hizi hawajui hata kupiga goti moja wanaposalimiana na wakubwa au waheshimiwa?
ReplyDeletewewe mdao hapo juu acha mambo ya kikoloni sasa upige goti ili iweje kwani ni mungu huyo ni binadamu kama ww tofauti yake yeye ni rais heshima siyo mpaka kupiga magoti hayo ni mambo ya karne ya 20 inaelekea ww mgoroko sana ndo watu mnaopenda kusujudiwa badilika...
ReplyDeleteMabinti wanapendeza hapo safi kabisa
ReplyDelete"Hivi vijana wa siku hizi hawajui hata kupiga goti moja wanaposalimiana na wakubwa au waheshimiwa?"
ReplyDeleteKuna tofauti ya print na video photo.
Hiyo ni print photo. Unajuaje, labda hiyo gig ya piga goti ilikuwa imeishapita!
Kwani lazima apige goti. AKIPIGA GOTI ATAISHI ZAIDI?
kupiga magoti mpaka ulaya ipo. Adabu kwa wakubwa wote
ReplyDelete