Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. How many mayors are actually in Dar? is there one for every district?

    ReplyDelete
  2. very impressed with the guy.GOD BLESS YOU.

    ReplyDelete
  3. Kuna Meya katika kila Manispaa na sio wilaya. Manispaa hizo ni Ilala, Kinondoni na Tememeke. Kila moja ina meya wake.

    ReplyDelete
  4. Na huyu meya wa jiji anaingiaje? Je yeye ndo mkubwa wa mameya wote Dar?

    ReplyDelete
  5. All confusing, na Jiji ni nini au ni wapi hasa?

    ReplyDelete
  6. Jerry; You are a role model through your actions of integrity. I hope many youth will emulate your work and walks

    God Bless you

    ReplyDelete
  7. Mdau wa 4 wewe upo dunia gani?

    Huelewi ya kuwa Ilala ndiyo kitovu cha Darisalama?

    Sasa huoni uzito wa Koti lake Mstahiki Meya Mhe. jerry Silaa?

    Au ulitaka Heshima hiyo apewe babu yako Katibu Kata huko Meneromango?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...