Mshindi wa Shindano la Redd’s Miss Higher Learning
Mkoa wa Morogoro, Anitha Mwakitwange kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe akipunga
mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia jana katika shindano
lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa
akiwania nao taji hilo.
Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha
Mwakitwange(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rosemary
Aloyce (kulia) na Mshindi wa Tatu Tarchisic Mtui mara baada ya warembo hao
kutawazwa kuwa ndio washindi wa Shindano hilo usiku wa kuamkia jana katika
shindano lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo
Kikuu Mzumbe aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa akiwania nao taji hilo. Kupata picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...