Moja ya nguzo kuu za kiafya ambazo hazizungumziwi sawasawa kwetu Afrika ni umuhimu wa kuvuta pumzi. Mwandishi Freddy Macha anaanza msururu wa maelezo juu ya shughuli hii muafaka sana kwetu wanadamu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Je unameditate pia na kula mboga mboga kwa sana?

    ReplyDelete
  2. asante sana Bro tuleete zingine tafadhali,nimashaanza kujaribu

    ReplyDelete
  3. Bw. Macha natoa shukurani zangu za dhati kwa funzo hili la kupumua/kuvuta pumzi. Ni funzo muhimu, la lazima na la maana sana kwa kila anayeishi! Pia nakushukuru kwa lugha bora na fasaha ya kiswahili uliyotumia. (Japo Tanzania ndilo chimbuko na chemchemi ya kiswahili lakini kisemwacho na kiandikwacho ni aibu kwa taifa letu).

    ReplyDelete
  4. Ukisilimu Fred hupati tabu kufunga swaum

    ReplyDelete

  5. Bw. Macha ni maoni mazuri sana na mimi kama Cardiopulmonary Respiratory Therapist nimeipenda hii video. Pia mimi ni mwalimu wa Yoga nilisomea India. unapoongelea kusafisha pua, kawaida hiyo sio kusafisha pua, ni mazoezi muhimu na hatari kama ufati masharti yake katika mwili, hayo mazoezi yanaitwa "Pranayama" na una focus ktk pituitary gland, na kuna maelekezo mengi zaidi ya hayo. Na Pranayama hairuhusiwi kwa watoto chini ya miaka 10, itaweza kumdhuru ktk glandular system.
    Asante Freddy kwa mchango wako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...