Ngoma ya 'Pesa Position Na Yo' ya Madilu na Franco wakiwa na Le T.P. O.K. Jazz mwaka wa 1986 ni balaa!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. RIP Madilu/Franco,Kibao safi sana hiki mkuu kwa sisi vijana wa zamani.Hawa ndio waligonga kibao Mizele(Sina uhakika).Nacho kilikuwa balaa.Kuna mtu anaitwa Isaac Gamba-Jana nilimsikia "mahali" akishusha vitu vya zamani kama MANGOLIBO, na ule wimbo wa lugha ya kifipa "Nakula **% bila kuswali..pamba moto...awamu ya pili..pamba moto..."ulinikumbusha mbali sana mkuu.Weekend njema wote

    David V

    ReplyDelete
  2. hahahahahahahaha eti ' nakula bila kuswali" duh @ anonymous 1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...