Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kweli nchi yetu sasa itaendelea. Tunahitaji kuongeza nguvu ya upinzani bungeni ili maamuzi yawe yanatolewa kwa nguvu za hoja na sio vinginevyo. Bunge sasa limechangamka!

    ReplyDelete
  2. Shukrani nyingi TBC. Nimependa sana hii umetuletea matukio ya bungu Live ili tujue kabisa nani anaongea hoja hewa na nani anaongea hoja yenye rutba! safiii sana! TV stations zoote ziingeiga hii ili wananchi tuelewe na tufuatilie kinachoendelea bungune. Big up TBC. Good job.

    ReplyDelete
  3. Wenzetu wamepunguza serikali toka wizara 44 mpaka 18, ili kupunguza ukubwa wa serikali, sisi tunazidi kujiongezea wizara

    ReplyDelete
  4. Ngoma ya kitoto haikeshi.

    ReplyDelete
  5. Dr.Patrick NhigulaApril 19, 2013

    Watanzania,
    Kwanza, wenzetu wa Malysia na Indonesia wamewakubali Diaspora. Wanaasia waliosoma na kufanya kazi nje ya nchi. Wamewaheshimu na kuwasikiliza.Sisi tunafikiria kuendela kwao kumetoa na local workforce. Ukweli ni hivi wafanyakazi wengi wa hizi serikali za Indonesia na Malysia na Indonesia walisoma sana na kuishi muda mrefu nje ya nchi zao. Hivyo basi, lazima kwa sisi tuanze sasa kuleta nyumbani watanzania waliosoma na kufanya kazi nje kwa muda mrefu ambao wako tayari kuleta mabadiliko badala ya watu kufikiria ushindani

    ReplyDelete
  6. Mdau wa 03:36:00, watu wanaoishi nje wengi wao waongo, mtu anaweza kuwa alikuwa kwenye warehouse anadai alikuwa professor sasa unataka tumpe wizara aongoze, hii haiwezekani. Ghana ilikuwa ikifanya hivyo kwa maraisi wao wakangudua mtu aliyeishi nje hajui hali halisi ya mambo ndani ya nchi yao hivyo sasa hawafanyi tena hayo. Kiongozi anatakiwa akulie na kuishi katika mazingira halisi ya nchi yake hivyo atajua thamani ya uongozi wake. Angalia Discovery channel kuna program inaitwa "Jungle Gold" utajua nini maana ya kuishi na kufanyakazi nyumbani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...