Marhum Issa Matona atakumbukwa daima na ngoma yake ya 'Harusi'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wadada wa mjini mnalo!

    ReplyDelete
  2. Wakija mashoga zako sema nao dirishani....haahhaah. Hii inafaa kwa wasanii wetu wa hapa kwetu bongo.

    ReplyDelete
  3. Mashoga wa siku hizi ujue hawana maana. Umuoneshe shemeji basi atamuinukia wima..hahahaha
    Akuache unalia njiani ukilalama..
    Utatamani akhera nawe bado mzima...
    Mara nipe mara nipe vyengine vitawashinda...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...