Saa moja ya siku hiyo kutakuwa na uzinduzi wa muvi ya mwisho kufanywa na marehemu. Pia itaoneshwa kwa mara ya kwanza preview ya muvi iitwayo After death(Never happened before) iliyoandaliwa na Jackline Wolper kwa ajili ya kumuenzi marehemu Kanumba.Kutasindikizwa na burudani mbalimbali ikiwa ni pamoja na wachekeshaji maarufu Tanzania.
KIINGILIO NI BURE.
MSIKOSE TUMUENZI NDUGU YETU.
KIINGILIO NI BURE.
MSIKOSE TUMUENZI NDUGU YETU.
mimi sio mpenzi wa sinema za kitanzania lakini niliangalia juzi senema ya huyu jamaa kwakweli senema za tanzania ni boring sana
ReplyDeleteyani wajamaa wananyata utasema nini wapo slowly sana mpaka unaboeka kuangalia
alafu sasa kwa upande wa mafundisho ndio zero kabisa yani sijaona mafundisho ya maana kwa jamii
maadili ni mabovu kabisa wanavaa nusu uchi wananyonyana midomo
hivi hizi senema zinaendana na maadili ya kibantu kweli?
hizi senema huwezi kuangalia na watoto wako ni aibu kubwa
wanachafua mazingira ya familia sana hawa jamaa
ningelikuwa kama ni mhusika wa serikali basi hizi senema ningekuwa nazipitia na kutoa viwango
zisizofaa kwa jamii nisingeziruhusu kuonyeshwa.
Meandeleo yote ni kuiga magharibi baba.
ReplyDelete