Leo tarehe 19.04.2013 ni mwaka mmmoja (1) toka Baba,Mtoto na kaka yetu Godbless Anaseli Mosha kutwaliwa kwenye maisha haya ya duniani.
Ilikuwa ni siku ya wingu zito na huzuni kubwa ndani na miyoyo yetu pale uliposema tutaonana paradiso,Huku ukituachia Maneno haya ya Zaburi ya 125:1 “Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni ambao hautatikisika wakaa milele……”
Unakumbukwa na Mke wako Mwl. Yusta Mosha,Watoto wako wapendwa Emmanuel Mosha, David Mosha, Denis Mosha na Upendo Mosha. Pia mjukuu wako Sarah na wazazi wako Mr na Mrs Eliangitsosi Mosha.
Dada zako na wadogo zako wapendwa (Rev Goodlack,Sabath,Moses,Grace,Violet,Josephine na Miriam).Shemeji zako na Marafiki na Wafanyakazi wenzio.
“……..Raha ya milele umzidishie eeh Bwana……..”
RIP Mkuu... speechless!
ReplyDelete