Habari
za leo wadau, Napenda kuchukua fursa hii kuitambulisha kwenu blog yangu
mpya ambayo ina lengo la kutoa habari mbalimbali kutoka Makete na
sehemu za jirani ili kuendelea kuwajuza wasomaji waliopo kila pembe ya
Dunia hii kwa muda wote bila kuchoka. Jina la blog hiyo ni EDDYMOBLAZE
BLOG unaweza kuipitia kwa kubonyeza link ifuatayo:-
asante kwa ushirikiano wenu
Edwin Moshi
Mmiliki wa Blog
Eddymoblaze Blog
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...