Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua Semina ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro,Aprili 6, 2013, katika ukumbi wa VETA mjini Moshi.
Wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro, wakijitambulisha kwenye semina ya Halmashauri Kuu mkoa wa Kilimanjaro, katika ukumbi wa VETA mjini Moshi. Kutoka kushoto ni, Charles Mlingwa (Siha), Novatus Makunga (Hai), Elinas Pallangyo (Rombo), Shaibu Ndemanga (Mwanga), Helman Kapufi (Same) na Dk. Ibrahim Msengi (Moshi Mjini).
Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kazidi akizungumza wakati semina hiyo.Wajumbe wakimshangilia Nape alipofungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCm, mkoa wa Kilimanjaro katika ukumbi wa VETA mjini Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...