Jenerali wa Magereza John Casmir Minja akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza waliopandishwa vyeo mbalimbali katika ukumbi wa Bwalo Kuu la Magereza Ukonga. Zoezi la uvalishwaji vyeo leo baada ya kikao cha Tume ya Polisi na Magereza kilichofanyika jana chini ya uenyekiti wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Dkt. Emanuel J.Nchimbi (Mb)
Home
Unlabelled
MAAFISA MAGEREZA WALIOPANDISHWAA VYEO LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
cheo chake ni kamishina jenerali, sio jenerali kama ulivyoandika!
ReplyDelete