Home
Unlabelled
madereva wa kweli wapo kazini......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inabidi tuanzishe adhabu ya viboko kwani hawa sidhani kama kina adhabu mbadara sasa badara yake inarudishwa mashuleni.na inabidi tukome kusema ajali imetokea sehemu fulani
ReplyDeleteInaonekana hata aliyepiga picha hizi, hasa ya kwanza na ya pili yuko kwenye gari inayo "overtake" pasipo tahadhari. Labda alitakiwa amuelimishe dereva wake kwanza kabla ya kupiga hizo picha.
ReplyDeleteDawa ya madereva dizaini hiyo ni kunyang'anya leseni asiguse usukani maisha!! Bora yeye atafute shughuli nyingine ya kufanya kuliko kupoteza maisha ya watu kizembe.Eti mtu kama huyo baada ya tukio na yeye utamsikia aah ajali haina kinga.Pia wawe wanachapwa bakora!!
ReplyDeletekwa udereva wa namna hiyo ajali za barabarani hazitakwisha Tanzania. Magari zaidi ya nusu yote yamevunja sheria na kuvuka mistari inayozuiwa kuvukwa kama wanavyoonekana. na pengine hawajalewa sijuwi wakiwa wamelewa ndiyo inakuwaje?
ReplyDeleteIjulikane kuwa katikati ya barabara msitari mweupe maanaake usiovateki, hiyo mistari miwili myeupe inazuia kuovateki kwa gari za kila saiti. msitari uliovunjikavunjika (------) manaake unaweza kuovateki kama ni salama. Huyo aliyepiga hii picha si lazima awe kwenye gari lililovunja sheria, inawezekana alikuwa kando ya barabara.
ReplyDeleteLakini picha ya kwanza imewaruhusu ku overtake cz mstari wa hapana unayahusu magari ya upande wa kulia.
ReplyDeleteOOH Lord hata innocent msukuma mkokoteni yuko hatarini hapo bila kujijua.Nchi za watu sheria ya barabarani ni very very serious hivi kweli tunahitaji wazungu waje kutusimamia sheria kama hizi hatuziwezi?sasa hivi tuna elecronic driving licences zenye biometric data hivi nini kinashindikana kunyang,anya licence for life ili watu wajiheshimu.where is authority for that.
ReplyDelete