Majaji wakifuatilia ufunguaji wa Mkutano
Majaji wakifuatilia ufunguaji wa Mkutano
Majaji wakimkumbuka aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Marehemu Jaji Mstaafu Ernest Mwipopo wakati wa mkutano huo.
Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. Albert Msangi akiwasilisha Taarifa ya Tume mbele ya Majaji
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Aloysius Mujulizi akifungua Mkutano wa Majaji kupitia Taarifa ya Tume juu ya Utafiti wa Mfumo wa Sheria Unaoratibu Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania.
Picha na Munir Shemweta-LRCT
Picha na Munir Shemweta-LRCT
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...