Mwili wa marehemu Nyaga poul Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa
 Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na mkewe, Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Lazaro Nyarandu na Sir George kahama na Mama Kahama pamoja na binti yao wakiwa kanisani  na waombolezaji wengine kushiriki misa ya maziko ya marehemu Nyaga Mawalla.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Rest in peace Nyaga Paul!

    ReplyDelete
  2. wadau nifahamisheni kwa nini kazikwa Kenya wakati ni mmbongo

    ReplyDelete
  3. hata mimi nimejiuliza hilo swali, kwa nini azikwe Kenya??

    ReplyDelete
  4. Hata mimi nashindwa kuelewa kiwanini alizikwa Kenya. Mara ya mwisho kulikuwa na mgogoro wa kifamilia azikwe wapi kati ya shambani kwake na Marangu kwa mzee wake.

    ReplyDelete
  5. Aliacha wosia kuwa akifa nje ya nchi azikwe hukohuko na kama akifia Tz azikwe kwenye shamba lake lililopo momela Arusha
    Michu mbona wengine unaandika Mh. Na wengine huandiki ingekuwa vizuri ukaamua moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...