Mwili wa marehemu Nyaga poul Mawalla ukiwa katika kanisa la Kilutheri nchini Kenya usharika wa Uhuru Highway kwa ajili ya misa
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na mkewe, Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Lazaro Nyarandu na Sir George kahama na Mama Kahama pamoja na binti yao wakiwa kanisani na waombolezaji wengine kushiriki misa ya maziko ya marehemu Nyaga Mawalla.
Rest in peace Nyaga Paul!
ReplyDeletewadau nifahamisheni kwa nini kazikwa Kenya wakati ni mmbongo
ReplyDeletehata mimi nimejiuliza hilo swali, kwa nini azikwe Kenya??
ReplyDeleteHata mimi nashindwa kuelewa kiwanini alizikwa Kenya. Mara ya mwisho kulikuwa na mgogoro wa kifamilia azikwe wapi kati ya shambani kwake na Marangu kwa mzee wake.
ReplyDeleteAliacha wosia kuwa akifa nje ya nchi azikwe hukohuko na kama akifia Tz azikwe kwenye shamba lake lililopo momela Arusha
ReplyDeleteMichu mbona wengine unaandika Mh. Na wengine huandiki ingekuwa vizuri ukaamua moja