Home
Unlabelled
mdau akikata kiu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ebwana eeh imenichekesha hii picha yani acha tu na mimi huku majuu NY manhattan kuna sehemu kuna chemchem ya maji yanatoka basi mbongo mimi nahangaika kutafuta kazi na vyeti vyangu huku na huku na nina budget so nikayaona maji nikarukia kujidai kama vile nayachezea kumbe zuga bwege nakunywa kinyemelea kiu kilinishika nasehemu ya kunywa maji sijaiona leo joto huku basi nikanywa bwana maji ya chemchem aisee maisha popote bwana mdogo na mimi pia majua nimekunywa maji ya bustanini ha ha ha
ReplyDeletepoa sana michuzi
Mdau wa kwanza wa NY huko ulipo mnazo Health Insurance (Bima za Matibabu) afya ikiyumba kwa kuharisha utakwenda Hospitali.
ReplyDeleteSasa huyo Ngosha wa Pasiansi-Mwanza anayekunywa maji ktk Bustani yasiyo salama akiharisha atasaidiwa na nani?, wakati kilamkitu pesa?, ile tu kuchukua Kadi kabla ya kuonana na Dakitari pesa?
Wewe unakunywa maji yasiyo salama kwa ujinga wako mwenyewe.
ReplyDeleteUkiumwa na tumbo na kuharisha lawama zooote kwa Raisi wa nchi, Chama Tawala na Serikali!!!